Posts

Showing posts from June, 2017

Kuhusu spf kutoka oiflame

Image
Je wàjuà kuhusu madhara ya UVA na UVB? Hii ni miale ya juà àmbayo hufika direct ktk ñgozi yà binadamu na kusabàbisha madhara yafuàtavyo... Kuzeeka kwa ngozi Mikunjo ktk ngozi Kuungua na jua Kànsa n.k Je wàwezàje jikingà hàswa ukiziñgàtia mizunguko yetu ya kila siku na jua kali la nchini kwetu? ORIFLAME Sweden ina bidhaa nzuri zinazo kukinga na miale hiyo ya jua. Zipo skin care product zenye SPF (sun protectin factor) kuanzia spf 15 mpaka 20 ambapo zinauwezo wa kukukinga na jua kuanzia 93% Lakini kubwa zaidi zipo sunscreen ambazo hukukinga na jua kwa 97 mpaka 99% Unashauriwa kutumia bidhaa zenye spf kuanzia  15 na zaidi ili kujikinga na miale ya jua. Je unawakika na bidhaa unayotumia ni rafiki kwako kiasi gani? Karibu oriflame,