Jiajili na oriflame
Habari, kwa wale wenyekuhitaji kipato cha ziada. Kama tujuavyo kwa mtu yeyote anayehitaji mafanikio huwezi kutegemea kazi ya aina moja, karibu uanze biashara yako ambayo utaifanya ukiwa popote pale unatakiwa kuwa na simu/ computer na access ya internet iliuweze fanya biashara ukiwa nyumbani, ofisini hata njiani. Lakin pia hata kama huna still you have a chance utafundishwa jinsi ya kufanya biashara. Biashara inahitaji mtaji kidogo wa tsh 200,000 tu ni biashara yenye kipato endelevu tunakupa semina, mafunzo kwa vitendo Majukumu na malengo ya biashara kwa kila mwezi »Ufanye manunuzi kwa biashara yako kuanzia tsh 200,000 utakapo uza utapata faida. »Utengeneze team yako ya kazi ya watu kuanzia 5 na kuwakuza kibiashara kwa kuwapa training na ujuzi. Pia kampuni itakulipa kupitia manunuzi ya team work yako hiyo. Ikiwa uko nyumbani, unasoma, mfanya kazi, mfanyabiashara, mwanachuo, umemaliza chuo hujapata ajira.... this is your time onyesha jamii unaweza fanya kitu cha tofauti kuwa bosi ...