Jiajili na oriflame

Habari, kwa wale wenyekuhitaji kipato cha ziada. Kama tujuavyo kwa mtu yeyote anayehitaji mafanikio huwezi kutegemea kazi ya aina moja, karibu uanze biashara yako ambayo utaifanya ukiwa popote pale unatakiwa kuwa na simu/ computer na access ya internet iliuweze fanya biashara ukiwa nyumbani, ofisini hata njiani. Lakin pia hata kama huna still you have a chance utafundishwa jinsi ya kufanya biashara.

Biashara inahitaji mtaji kidogo wa tsh 200,000 tu ni biashara yenye kipato endelevu tunakupa semina, mafunzo kwa vitendo
Majukumu na malengo ya biashara kwa kila mwezi
»Ufanye manunuzi kwa biashara yako kuanzia tsh 200,000 utakapo uza utapata faida.
»Utengeneze team yako ya kazi ya watu kuanzia 5 na kuwakuza kibiashara kwa kuwapa training na ujuzi. Pia kampuni itakulipa kupitia manunuzi ya team work yako hiyo.

Ikiwa uko nyumbani, unasoma, mfanya kazi, mfanyabiashara, mwanachuo, umemaliza chuo hujapata ajira.... this is your time onyesha jamii unaweza fanya kitu cha tofauti kuwa bosi wako mwenyewe na chagua mda wako wa kufanya biashara.

Skills utakazozipata kutoka katika biashara
» Entrepreneurship/ ujasiriamali
»communication skills
»Leadership
»utajifunza kufanya presentation (public speaking)
»utajifunza kufanya training kwa vitendo.
»utapata kuongeza self confidence
Njoo uongeze ujuzi kama hizo huku ukiingiza kipata cha ziada. Nasajiri watu ambao wanainterest, wanaojituma na wasiokata tamaa.

Kampuni ni oriflame east Africa, biashara ni ya mfumo wa network marketing na bidhaa zetu ni perfume, skin care, personal and hair care, accessories. Bidhaa ni za kiume, za kike na watoto.

Mawasiliano: 0717 343635 text/call/whatsapp

Comments

Popular posts from this blog

Products Review: Novage Bright Sublime Set

Oriflame business opportunity